Recent content by Eliah The Great

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kinyesi cha Kijani:Nini sababu?

    Ahsante mkuu Zogwale. Nimejaribu ku google. Sababu kubwa nilizo zipata huko ni: 1/ Ulaji ulio pitiliza wa green vegetables. Hili kwangu halipo,nakula kiasi kidogo tu cha mboga za majani na matunda kwenye mlo wangu. 2/Bowel Infection(Maambukizi kwenye njia ya chakula) Hili wameelezea...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kinyesi cha Kijani:Nini sababu?

    Mkuu,nakula mboga za majani kwa kiwango cha kawaida kabisa.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kinyesi cha Kijani:Nini sababu?

    Wakuu heshima mbele. Nime notice rangi ya kinyesi changu kuwa ya kijani kabisa kwa siku ya tatu sasa. Sipati maumivu yoyote wakati wa kujisaidia,na wala sina maumivu yoyote ya tumbo. Content ya green vegetables na matunda sijabadili,ni ya kawaida kama ninavyo tumia siku zote. Naomba kujuzwa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Milio ya kupoea simu yenye ujumbe wa kidini isitishwe mara moja

    Mkuu,hakuna jambo kama hlo! Labda uliweka kwa bahati mbaya!
  5. E

    JamiiForums Tanzania msaada daktari wa mbwa

    Hivi haya ni miongoni mwa madhumuni ya jukwaa hili,eti mheshimiwa Invisible?
  6. E

    JamiiForums Tanzania msaada daktari wa mbwa

    Hivi haya ni miongoni mwa madhumuni ya jukwaa hili,eti mheshimiwa Invisible?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Msaada:jini mahaba lilitaka kunibaka!!

    Dawa si ndio hiyo! Jina la Yesu ndio mwisho wa yote!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na Mkojo na Haja Kubwa silmutaneously.

    Wakuu,nimekuwa na tatizo la haja kubwa kutoka pale ambapo nimejisikia kukojoa na ninapo jaribu kukojoa. Hii haijalishi nimejisaidia haja kubwa mara ngapi,nikienda haja ndogo tu,ninapo sukuma,na kiasi cha kinyesi kinatoka! Naomba msaada: 1/Je,hii ni hali ya kawaida? 2/Inasababishwa na nini...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kisukari kimenitenda, sasa uume wangu ndembendembe

    Dah!!! Pole sana mkuu!!! Zingatia ushauri wa daktari,lakini zaidi sana mwombe MUNGU,yeye anaponya!!!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ahsante kwa ushauri mkuu Mr Q.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Are you serious dada white?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Mkuu Mrimi,simple like that,kuamua tu? Nakuhakikishia nimetamani sana kuacha tabia hii chafu lakini nimeshindwa! Tafadhali nipe hiyo namna ya kuacha please!
  13. E

  14. E

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Habari wana Jf! Mimi ni kijana wa miaka 23. Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa. Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena! Naombeni ushauri wa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Msaada:Tatizo wakati wa Kukojoa.

    Mkuu gody,nimekupata vema. Nimepost hapa kwa sababu kadhaa: 1/Kujua iwapo hii hali ya kukojoa kwa pressure ndogo kiasi hiki ni tatizo kitaalamu,kwani apart from that,sisikii maumivu yoyote. 2/Kujua toka kwa watu ambao wamewahi ku experience hali hii,ili kuwa na hakika kama hali hii ni ya...
Back
Top Bottom