Recent content by Elia shabani

  1. Elia shabani

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya, serikali inaweza kunichagulia chuo?

    Kozi za business
  2. Elia shabani

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Hi!! Nimehitimu kidato Cha nne nipata IV-26 ..Kam ifuatavyo Civic-C History-C Mathe-F Kisw-C Bios-D English-D Geogr-D ....hivi serikali inawez nichaguilia chuo au mbk ni apply mwenyewe.. Msaada
  3. Elia shabani

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya, serikali inaweza kunichagulia chuo?

    Habarii! Msaada nimepata division 4 ya 26 Mwaka huu form 4...matokeo yako Nina C..tatu na D 3 na F..moj Civic-C History-C Geogr-D Mathe-f English-D Kisw-C Bios-D Hapo jamani serikali inawez nichaguilia chuo au mbk ni apply mwenyewe. Naombeni msaada wakubwa.
Back
Top Bottom