Kwa tundu lisu wameshindwa,,, cos sio Mara ya kwanza kukamatwa na kuwashinda mahakamani,,, kwahiyo mm najua hawana lolote la kumfanya wala kumfunga hawawezi atawashinda mahakamani na kama kuna faini atalipa,dhamana itapatikana na atatoka!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.