Recent content by eli -DEFIANT- cohen

  1. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    win-one "tulizana mpenzi, tupendane, tulizana mpenziiii, tupendaneeee.. https://youtu.be/Dy_QLgSo-bA?si=ZM2RtSKnsCIrxWfG
  2. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Ila nyimbo za zamani bwna, haziondoki kichwani ila hizi za siku hizi zinafanana sana kupelekea confusion. Seran ukivuta memeory yako ya mwisho kabisa ni nyimbo gani unazikumbuka za longi bongo🤔
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Maisha dada yangu. 🧬🧬
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Yeah it is worth it😁
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Kipindi kile sisi tunasikia mikasi milupo na mitungi kumbe ngwea alikuwa na yeye anacheza na akili yetu aisee😁😁😉
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Hhaja vijana walijua kucheza na akili zenu especially yule mzanzibari😁😁
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    😁Vp ule "we mamaaa weeee ntilieeeee, ..."
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Yah nalijua sana, likikusumbua lioneshe hii dawa, ndio litaweuka zaidi, si unajua afya yake ya akili mbovu😁😁
  9. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo jinsi nyimbo zetu zinavyosikika mbele ya masikio ya watu wa nchi zingine

    Duolingo ndio siri.. Tatizo lenu mmeshikiillia kiswahili sanaa
  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    😁😁 Alafu kosa lione sehemu umetajwa lazima liibuke 😁😁 Lina roho mbaya ila huwa nina dawa yake😁
  11. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Ngoja baadae nitafute mtu wa kumchokoza😉😅
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Niko poa kabisa💪
  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo jinsi nyimbo zetu zinavyosikika mbele ya masikio ya watu wa nchi zingine

    What is excatly your point brother
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    😁😁 Ubize tu ndugu yangu, vp unaendeleaje lakini
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Huyu mdada namkubali sanaaa sijui tena kwanini katulia , Yuko unique sanaaa
Back
Top Bottom