Pole sana kaka yangu kwa yaliyokupata ni wengi sana nasi yaliyupata. Cha msingi wewe omba Mungu atakubariki na uweze kulea mwanao bila mashaka.
Ulimwengu wa leo umejaa mahangaiko ya kila aina na hatuna budi kuyashinda yote.
Mwamini Mungu na malipo yote ni hapa hapa duniani.
Be still and know...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.