Recent content by ELENEUS ELIAS

  1. E

    Naitaji kununua gari msaada

    kwanini usinunue ndani ya nchi kupunguza gharama za usafirishaji nk
  2. E

    Uhuru na katiba mpya

    Haki itendeke katika kupatikan kwa katiba mpya na maoni ya kila mtanzania yazingatiwe
  3. E

    Uhuru na katiba mpya

    aidha malumbano ya kisiasa dhidi ya katiba yatachelewesha zoezi la upatikanaji wa katiba mpya na hivyo kuharibu pesa
  4. E

    Wachina tena: Wakamatwa na Meno ya Tembo 81 Bandarini Dar es Salaam - Jan 2, 2014!

    hivi inamaana mpaka tembo hao wote wanauliwa mamlaka husika zilikuwa wapi?
  5. E

    Uhuru na katiba mpya

    licha ya miaka 51 ya uhuru bado maadui wetu ujinga maradhi umaskini yanatukabili katiba mpya iwe namisingi ya kuyaondoa
Back
Top Bottom