Recent content by El Roi

  1. El Roi

    PreGE2025 Josephat Gwajima karibu CHADEMA tuijenge nchi

    Acha tabia mbaya ya kutaka kuwatafsiri vema watu , wakati kiuhalisia hawako hivyo. Kwa Nini unamsemea Gwajima? Kama yeye Yuko huko na hajasema hapafai, wewe ni nani unamsemea kuwa hapamfai. Don't put words in his mouth. Wewe siyo yeye. Msiwape watu picha za uzuri wakati huo uzuri siye hatuuoni
  2. El Roi

    Freeman Mbowe ni mgombea urais sahihi kwa tiketi ya CHADEMA 2025. Watanzania tumuunge mkono

    No thank you. He is not a man of the hours!!! This is Lissu's seasons.
  3. El Roi

    Wassira, mtu aliyepitwa na wakati. ( Man out of the hours)

    Kwa malezi niliyoyapata toka kwa wazazi wangu na makuzi mengine katika maisha, huwa Sina kawaida ya kudharau mtu. Na naomba chapisho langu lisionekane kuwa personal na Mzee wassira bali litazamwe kama jicho la ukweli wangu. Malezi hayo pia yamenifanya kuwa mkweli na mtu ambaye naweza kuongea...
  4. El Roi

    PreGE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

    Kama unakumbuka alithibitisha kwamba hakuwa anagombea nafasi ya mwenyekiti awali , kwa sababu alichukua kabisa fomu ya kugombea umakamu mwenyekiti. Kwa hiyo alikuwa sahihi kusema hivyo. Kubadilika kulikuja baada ya kuhisi mwenyekiti wao wakati huo, alikuwa na njama za kuwatosa na kuwatoa...
  5. El Roi

    Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

    They are scientifically called, " populist leaders". They always blackmail as to attract and win the support of an ordinary people at the expense of superficially insubordinate the western world and colonialism as a whole, meanwhile plundering our wealthy and safeguarding their own interests...
  6. El Roi

    CHADEMA anzisheni nafasi ya Katibu Mwenezi badala ya kurugenzi ambayo ina mzigo wa majukumu ya utawala badala ya kueneza chama (publicity)

    Katika kutazama formation ya Chadema, Moja ya udhaifu mkubwa walionao ni kukosa uenezi hasa wa kazi zao za siasa. Hii kurugenzi ilivyo, imekaa zaidi kitechnocrat badala ya kukaa kisiasa zaidi. Siasa na Imani ya chama ni bidhaa, hivyo lazima ifanyiwe ( umasoko) au ukipenda marketing. Hiyo hasa...
  7. El Roi

    Lissu amekosea kwenye Final touch. Kumchagua Lema haukuwa uamuzi sahihi

    Kama bado hujawahi kujua kwamba Lema ni mtu genuine katika mambo yake, basi ngoja tukuache hivyo hivyo, wakati utakusaidia kujua
  8. El Roi

    Boniface Jacobi, an intelligent person who turned into a sycophant

    Prophesying the defeat of Lissu depicts you a doom prophet.
  9. El Roi

    Boniface Jacobi, an intelligent person who turned into a sycophant

    Boniface Jacob au maarufu Bon Yai ni mmoja wa wanasiasa vijana wenye akili na ambao kimsingi wanajua siasa kutoka moyoni. Kama unafahamu temperaments za watu, huyu bwana ni real ktk siasa zake na ana siasa za akili na ana akili kubwa ukipenda. Shida ambayo nimepata hivi karibuni ni kumuona mtu...
  10. El Roi

    Lissu: Hatupaswi kukubali ujinga wa yeyote anayepiga marufuku siasa vyuoni

    Siasa ni muhimu kwa mtu kuijua maana it is mainly a general study. Msomi unayemtaja hapa kama hajui siasa ni mjinga kwa maana ufahamu wake ni finyu na Hana life skills. Usitetee ujinga kisomi, wasomi wasiojua siasa ni mbumbumbu wa maisha na hawana impact kwa jamii.
  11. El Roi

    Nimefurahishwa sana na Uchaguzi wa BAWACHA Taifa

    Kwa taarifa yako watu wanaopashana ndo huishi pamoja na kuheshimiana. Wasiokupasha, husubiri kukuroga tu
  12. El Roi

    PreGE2025 Inasemekana baadhi ya Maaskofu wachukizwa na Padre Kitima kufanya Vikao vya Siri na CHADEMA

    Kosa ni lipi hapo Sasa. Kama balozi wa nyumba Kumi, huwa anapatanisha mpaka ndoa,, sembuse kiongozi wa dini kusaidia wanasiasa wawili kupatana? Tena padre mwenyewe, na wajihi kama wa Dr Kitima? Kushauliwa au kushauliana ni tendo la kawaida kabisa ambalo tunalifanya Kila wakati. Hivi kama...
  13. El Roi

    Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

    Akifanya hivyo atakuwa kafanya jambo la maana sana. Ataonyesha political maturity.
  14. El Roi

    Ufahamu wa juu wa mambo ya kimataifa ( worldly view) sifa nyingine ambayo Lissu anamzidi Mbowe

    Kuwa kiongozi mkuu wa chama Cha siasa ambacho ni active kama ilivyo Chadema, ni muhimu sana. Ukiacha kufanya tu siasa za ndani, kujua upana wa mambo ya yanayoendelea kwenye ulimwengu mwingine ni mileage kwa chama hicho na nchi kwa ujumla. Siasa ni universal pia, hivyo kama huna upana wa kuona...
Back
Top Bottom