Yan majitu ya ccm aisee [emoji848]
Eti ww nae upo unateteA serikali ya ccm na unalipwa aaahaaah khaa
Chanzo cha tozo ni mbowe eti eeeh.
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
Kumbe mbowe ndo kaleta tozo au ukimsema mbowe ndo suluhisho la tozo?
Au mbowe ana uhusiano gn na majibu ya mwigulu?
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
Hiyo picha siijui wala sjaiona maana najua ni pumba tu
Je hiyo picha unayosema ina uhusiano gani na tozo za kjambazi kwa watanzania ?
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
Haya ndo majibu kuhusu tozo kwa watz au?
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mambumbu ya ccm bhana
Ona kama hili sasa kubwa jinga.
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.