Recent content by El MENCHO21

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vodacom na ahadi ya kurejesha Tsh. 75

    Leo nimenunua kifurushi kwa kutumia M-pesa kupitia menu ya vodacom ambapo walieleza wazi kuwa mteja atarudishiwa sh 75 baada ya ununuzi.Nimefuata maelekezo yote na nimekamilisha muamala,lakini hadi sasa sija pokea marejesho hayo Naomba kujua kama kuna mda maalum wa kusubiri au kama hii ni...
Back
Top Bottom