Recent content by ekamai

  1. ekamai

    Msukuma: Naamini tunawadai wawekezaji wa migodi zaidi ya hizo za TRA kwani wametuibia zaidi

    kweli kabisa Machadema ndio yaliingia mikataba hii mibovu, machadema ndio yamekuwa yakisimamia rasilimali za nchi hii toka tupate uhuru, yamekuwa yakishirikiana na haya majitu ya nje kutuibia mali zetu, kweli kabisa adui wa kwanza ni haya machadema!!!1
  2. ekamai

    Bungeni Dodoma: Spika Ndugai aunda kamati itakayofuatilia mfumo wa uchimbaji wa madini ya Almasi

    Kwa nini spika anaicheza hii mixer ya the minerals kwa style ya kwaito akipitiliza mpaka steps za mpiga beats! nini kilichopo nyuma ya hili, ninapata mashaka sana na Mr Speaker!! Kwa nini amekuwa hivi, muda utatujulisha tu.
  3. ekamai

    Rais Magufuli: Mwalimu mkuu atakayeruhusu aliyepata mimba kurudi shule ataondoka

    hayajakukuta au halijawakuta kwenye familia yenu.
  4. ekamai

    Hotuba ya leo: Rais wa TLS Tundu Lissu kwenye mkutano wa dharura wa TLS,Dar es Salaam

    kwa uvivu wa kusoma kilichoandikwa kwenye hotuba ya Lisu, wachache watamuelewa Lisu. Lisu ametoa mifano mbali mbali katika hotuba yake kukazia point zake kwa yatokanayo na BANGO KITITA. hivi hivi hawakumuelewa kuhusu mikataba kwa uvivu wa kusoma. IQRAA!1
  5. ekamai

    Geita: Waziri Mkuu Majaliwa, afungua Ofisi za TRA Chato

    Hatukatai wala hatupingi mheshimiwa kujenga kwao, ila watu wa chato kwa mimi nilieishi pale miaka miwili. Ofisi kubwa ya TRA na AIR PORT sio kipaumbele kwa sasa, watu wa chato wanahitaji; MAJI, VYUMBA VYA MADARASA, na uboreshaji wa huduma za afya. Na labda kiwanda cha usindikaji samaki...
  6. ekamai

    Lissu; Nia njema ya Magufuli inatupeleka pabaya

    Vipi kama asingeipata nafasi ya juu, mimi nafikiri nafasi yeyote ya uongozi hasa ubunge, ni jukwaa zuri zaidi la kusema kama kuna ouvu wowote katika nchi yako, alikaa kimya kwa kuhofia nafasi yake ingepotea. Mwl Nyerere alipoteza kazi yake ya ualimu kwa sababu ya kutetea uhuru,. Lakini wanasiasa...
  7. ekamai

    Bulyanhulu yafunguka, yaeleza sababu ya kumzuia RC

    Kipindi kile hoja za mikata hii ilipo pigiwa kelele na wapinzani kuwa haifai, tungeungana hivi nadhani leo tusengekuwa tunajadili tena haya. Tupo hapa kwa uzembe wa watu fulani walioufanya 1997. Lakini leo tumesahau miruzi miingi ya kutafuta kick. Hakukuwa na uwazi mabwana wakubwa walipiga meza...
  8. ekamai

    Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Ukweli mtupu msomi wa Tanzania tena wa level ya Phd lazima aweze kuiongea lugha ya kiingereza kwa ufasaha, ama sivyo alikuwa anakariri tu. SECONDARY amejifunza kiingereza miaka minne na KIINGEREZA ni somo la lazima, kidato cha tano na sita amefundishwa kwa kiingereza(miaka miwili), digrii ya...
  9. ekamai

    Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Jamani mimi nauliza wana jamvi, hivi DIALLO si majina ya watu wa Africa Magharibi?
  10. ekamai

    Asante Magufuli kwa kuelewa hoja, sasa fanya kweli

    Mzee mwanakijiji kilichofanyika jana ni double standard, ningeomba umshauri mkulu awarudishe kazini walimu wote waliotumia vyeti vya watu wengine kujiendeleza kielimu na baadae wakaajiriwa serikalini.
  11. ekamai

    Rais Magufuli: Hakuna chakula cha Serikali, fanyeni kazi huo ndio ukweli

    Mtu huyu si alikuwa kanisani jana?, duh leo anaongea hivi kweli
  12. ekamai

    Huko tuendako mh.sana atapunguza kuonekana hadharani

    I wish I could be AI JII PIII
Back
Top Bottom