Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?

Wajinga wanajulikana. Na werevu wa kujipachika haukufikishi popote.

Kwa akili yako ilivyo, huwezi kuelewa wanachomaanisha hao "wapiga kelele".
Lazima Magufuli a-acknowledge madhaifu yaliyopo katika system ya CCM.
Mkubwa ambaye analazimika kusaini muswada bila hata kuusoma kwa kuwa tu wapinzani wameubishia sana huwezi kusema ana nia ya kubadili mfumo uliosababisha madudu. Naona anapita mle mle tu.

Time will tell.

kumbe unajadili kuwa uwepo wa CCM ni mbaya? ha ha ha

tayari ipo!! itakuwepo na haitoki leo wala kesho! na kwa kukuambia hivi haina maana mimi ni CCM

kama kuna wapinzania humu naongoza! ila kwa akili yakp haujaweka ushindani wa hoja na debate...utoto mbaya

sasa mfumo wa CCM umeoza kabisa, na ndio huo upo, na ndio huo unajisafisha kwa style hizi za bahati bahati

kikubwa kama hatutak mfumo huu tuwaondoe...na hakuna humu anayeongoza mijadala ya kuwaondoa CCM kama mimi!! hayupo

kila siku nasema na nitasimami, bila tume huru ya uchaguzi hatuendi popote tutaishia kulia

sasa hao unaowaita wapinzania, niambie mmoja ambaye alienda na mswaada bungeni wa kubadili muundo wa tume huru, niambie mmoja tu

Then utakuja kugundua hao unaowaita wapinzania ni wapiga dili sana tu, ila haujui
 
Ingekuwepo tofauti kubwa ya ulichokisema hapa na nilichokisema mimi, ningejibu hoja hizo point kwa point. Ila tofauti kubwa siioni zaidi ya confusion na "big ego" uliyonayo.
Somehow, tutakutana mbele ya safari.
 
Kujibu swali LA mleta hoja ni kuwa angethubutu kupingana na wakubwa wake asingekuwa Rais leo . Kilichomo ndani ya CCM humo ni kuwa fala kwa matakwa ya boss au chama. Mfano ni bunge live na Nape na wabunge wote wa CCM hawawezi kumkosoa Maghufuli ni mfumo wao.

Tukiacha kuogopa defender na washawasha viongozi wetu watasaini mikataba yenye tija, si sasa hawana wasiwasi wowote
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Magu aliyaona haya lakini akakaa kimya kusubiri aje kuwa rais ndio achukue hatua? Je, kama asingekuwa rais haya angeyafanya lini?
 
CCM ni kama zimwi linalokula hata watoto wake lenyewe. Wakubwa wachache ndani yake wanapopanga dili zao hata kama wabunge wa ccm wanapotaka kupinga wananyamazishwa. Ndio maana sheria nyeti sana ya madini inaweza kupitishwa kwa hati ya dharura. Mbunge wa ccm akijaribu kujifanya anapinga 'anashughulikiwa' kimya kimya. Dawa pekee ya kuondoa umasikini wa nchi hii na kuondoa ufisadi ni kuwa na tu na wabunge wengi wa upinzani basi. Nyie mnaolalamika mjue tume huru ya uchaguzi kamwe haiwezi kupitishwa na bunge lenye ccm wengi. Pia katiba itakayoweza kuzuia uozo kwenye mikataba na ufisadi KAMWE haiwezi kupita kama bunge bado lina ccm wengi. Kama bunge lina wapinzani wengi hata kama rais ni wa ccm itabidi asikilize ushauri wa bunge bila hivyo bunge linaweza kumfukuza rais kazi kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye. Dawa iliyobaki ya Tanzania ni hiyo tu.
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Magu aliyaona haya lakini akakaa kimya kusubiri aje kuwa rais ndio achukue hatua? Je, kama asingekuwa rais haya angeyafanya lini?
Unauliza swali gani?! Mbona alipiga kura kuikataa katiba inayowadhibiti viongozi wabadhirifu?!
 
Mimi naamini Magu ameyafanya haya si kwa sababu ni mzalendo sana ila mazingira ya kifedha aliyoyakuta hazina. Tukumbuke kuwa kampeni za 2015 zilikuwa ngumu kiasi cha Magu kutoa ahadi kubwakubwa kwa wananchi ili achaguliwe. Na chama chake kilidhamiria kurudi ikulu kwa gharama yoyote hivyo kutumia hela nyingi kupita kiasi
Kwa mtaji huu Magu baada ya kuingia ikulu akawa hana jinsi na inamlazimusasa achukue maamuzi magumu ili mambo yaende.
 
ana assume Lowassa na sumaye hawahusiki!! kamwona Magufuli tu
toka lowassa amehamia chadema wana chadema wamekuwa wanafiki sana nani alijua kama lissu angewatetea waliokuwa wanatuibia madini kupitia mchanga

lowassa amekuwa ni kifo cha kisiasa ndani ya chadema
 
ungewataja na lowasa na sumaye waliokuwa mawaziri wakuu je nao hawakuona haya kama wao hawayakuyaona utamlaumuje aliyekuwa waziri wa ujenzi acha unafiki

Tumsamehe bure mtoa mada mana ni dhahiri hayupo katika hali ya kawaida.....

Yaani anamlaumu waziri wa ujenzi kwenye madudu yaliyofanyika kwenye wizara ya nishati na madini......!!!??
 
Nakumbuka mwaka 2008 wakati wizara ya nishati na madini imebanwa kwekweli ns wapinzani.kuhusu uwazi, Magufuli alichangiz huo mjadala na kusisitiza tanzania imepiga hatua kubwa sana hads kimiundo mbinu ya barabara kwa sabsbu
ya sera nzuri za serikali ya ccm hasa kwenye madini. Na kuwananga wapinzani kwa kuwaambis waache wivu! Leo anajifanya anashangaa!
 
Magufuli amekuwa Mbunge Kwa miaka 20, kabla ya kuwa Rais, Na pia amekuwa Naibu waziri n Waziri katika Wizara Kadhaa. Wakati Mikataba hii inapitishwa ya Kuuza nchi kwenye "Hand Basket" nataka atuambie alikuwa wapi? Je ipo record yoyote ya yeye kuchangia bungeni kuhoji, au akipinga Mikataba Ile? Je kama Mambo ambayo ni "Stupid" aliyafumbia Macho miaka 17 yote leo ndio anaona ni Stupid! Na nakubaliana naye! Je ni kuwa then na Yeye alikuwa Stupid au?

CCM Hamkulazimishwa na hao wazungu Kusaini mikataba, Mlijiona Wajanja sana Mlivyokuwa Mkisaini Ninyi CCM na Magufuli Mnafiki Mkubwa akiwepo kama Mbunge wa Chato na Waziri. Wabunge wote wa CCM, akiwemo Magufuli Mliiuza Nchi kwa Kikapu cha Mkono,huku mkiwanyanyapaa wapinzani waliokuwa wakiwaambia acheni. Sasa Mnajidai wakombozi? Si Mliposhauriwa na Chadema Mliwazomea na Kuwaambia Watasoma Namba! Sasa Bebeni Msalaba wenu Mliouchonga wenyewe!

Magufuli Wakati mikataba hii inapitishwa na Wabunge wa CCM wakati wa Mkapa Alikuwepo kama Mbunge! Wakati wa Kikwete alikuwepo leo hii anaita wengine ati Stupid! What the hell did he do back then!

Pamoja na Kuwa inasikitisha, Mimi naona Magufuli hapa analia Machozi ya Mamba, Anapiga tu Campaign! Huwezi kunichoma Kisu wewe ukitaka nife halafu uniambie ati nije kwako unipige ganzi na wewe huyu huyo uwe daktari wa kunishona jeraha ulilosababisha wewe! Nikikubali itakuwa nina wazimu au ni mjinga sana sio kidogo!

Bora waketi nao haya Makampuni wawaombe Waweke Mikataba mipya ambayo iko fair, kuwaonyesha Makampuni ya Marekani Utemi Magufuli ataumia! Na nchi itaumia sana. Kwani wanayo Mikataba! Hii yote ni kwa Sababu ya Mijambazi mipiga Makofi ya CCM!
 
Magufuli amekuwa Mbunge Kwa miaka 20, kabla ya kuwa Rais, Na pia amekuwa Naibu waziri n Waziri katika Wizara Kadhaa. Wakati Mikataba hii inapitishwa ya Kuuza nchi kwenye "Hand Basket" nataka atuambie alikuwa wapi? Je ipo record yoyote ya yeye kuchangia bungeni kuhoji, au akipinga Mikataba Ile? Je kama Mambo ambayo ni "Stupid" aliyafumbia Macho miaka 17 yote leo ndio anaona ni Stupid! Na nakubaliana naye! Je ni kuwa then na Yeye alikuwa Stupid au?

CCM Hamkulazimishwa na hao wazungu Kusaini mikataba, Mlijiona Wajanja sana Mlivyokuwa Mkisaini Ninyi CCM na Magufuli Mnafiki Mkubwa akiwepo kama Mbunge wa Chato na Waziri. Wabunge wote wa CCM, akiwemo Magufuli Mliiuza Nchi kwa Kikapu cha Mkono,huku mkiwanyanyapaa wapinzani waliokuwa wakiwaambia acheni. Sasa Mnajidai wakombozi? Si Mliposhauriwa na Chadema Mliwazomea na Kuwaambia Watasoma Namba! Sasa Bebeni Msalaba wenu Mliouchonga wenyewe!

Magufuli Wakati mikataba hii inapitishwa na Wabunge wa CCM wakati wa Mkapa Alikuwepo kama Mbunge! Wakati wa Kikwete alikuwepo leo hii anaita wengine ati Stupid! What the hell did he do back then!

Pamoja na Kuwa inasikitisha, Mimi naona Magufuli hapa analia Machozi ya Mamba, Anapiga tu Campaign! Huwezi kunichoma Kisu wewe ukitaka nife halafu uniambie ati nije kwako unipige ganzi na wewe huyu huyo uwe daktari wa kunishona jeraha ulilosababisha wewe! Nikikubali itakuwa nina wazimu au ni mjinga sana sio kidogo!

Bora waketi nao haya Makampuni wawaombe Waweke Mikataba mipya ambayo iko fair, kuwaonyesha Makampuni ya Marekani Utemi Magufuli ataumia! Na nchi itaumia sana. Kwani wanayo Mikataba! Hii yote ni kwa Sababu ya Mijambazi mipiga Makofi ya CCM
Wamachinga kuvamia maeneo waliyopewa wanakwenda mahakamani sembuse mali iliyonjiani! Tutalia sana
AngloGold resorts to international arbitration as illegal mining worsens in Ghana
 
Back
Top Bottom