Recent content by einsteintz

  1. E

    CCM na kosa la kisiasa

    Ni dhahiri kabisa, mwaka huu ccm imefanya kosa kubwa kisiasa katika mchakato wa kumchagua mgombea wao wa uchaguzi nafasi ya uraisi. Malamiko mengi ya kwamba mchakato ulijawa na mizengwe mingi pamoja na kuwatarget watu fulani wasiweze kufika mbele kwenye kinyang'anyiro inaonyesha kudhohofika kwa...
  2. E

    Wema Sepetu ana nguvu kuliko Lowassa?

    Wema amepata kula tisini kula za maoni viti maalumu. Lowassa alipata wadhamini zaidi ya laki nane badala ya mia nne na hamsini. Nakukumbusha wewe uliyeweka huu uzi.
  3. E

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Ndugu nimefuatilia press conference ya ukawa ambapo lowassa ametangaza rasmi kujiunga na chadema. Nimeshangazwa na kauli za wenyeviti hasa Mwenyekiti wa NLD kwa kusema wanamkaribisha ukawa na akilee chadema vizuri. Mimi nilitegemea kwa sababu Lowassa ni mchanga chadema na hana ufahamu mkubwa wa...
  4. E

    Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    Ni ujinga kutaka kupandisha status yako jf kwa kupost ujinga.
  5. E

    Utafiti: Uwezo wa watanzania kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana

    Tulikuwa na maadui watatu, ujinga, maradhi na umaskini. Japokuwa wameongezeka wengine ufisadi na rushwa. Chama tawala wanamtumia adui ujinga kututawala.
Back
Top Bottom