Africa kumekuwa na Cancer kubwa sana ya kukosa uadilifu katika uongozi. Chimbuko la yote haya linaanzia katika familia na mfumo wa Jamii ambao mafanikio ya mtu yanapimwa Kwa kile anachomiliki bila kujali kimepatikana Kwa njia za uadilifu au namna gani. Sumu hii inatutafuna. Watu wanakimbilia CCM...
Pole sana mtoa mada. Nimekufuatilia na kuona kweli unapata maumivu makali unavyoona mafundisho yanayoonekana ni tofauti na tunavyotarajia. Naomba watu wa goggle Jonestown masaccre ilivyotokea kule Guyana mwaka 1978 kutokana na cult, na waathirika wengi katika hali anayosema Chapwa24 wanakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.