Recent content by EGMONE

  1. E

    JamiiForums Matokeo NBAA kunani?? Lini yanatoka? Kwanini mpaka sasa hayajatolewa??

    Huu ni ujinga wa kiwango cha lami
  2. E

    JamiiForums Matokeo NBAA kunani?? Lini yanatoka? Kwanini mpaka sasa hayajatolewa??

    Hahahahha mshikajiiii....nmesikia sikia etiiiii bodi sijui imefanya nn
  3. E

    JamiiForums Matokeo NBAA kunani?? Lini yanatoka? Kwanini mpaka sasa hayajatolewa??

    Matokeo ya NBAA..mpka leo hayajotoka...tatizo ni nini haswaa
  4. E

    JamiiForums Lead Generator Barclays kuna matumaini au tuangalie usawa mwingine

    Haya haya sasa mambo yamekwiva,barclays ameenza kuita LG first batch,tusioitwa tumeambiwa tuendelee kusubiri Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  5. E

    JamiiForums Lead Generator Barclays kuna matumaini au tuangalie usawa mwingine

    Wew kijana acha kupotosha wenzio,hakuna hata mmoja aliye anza kazi wala training,jamaa yangu ni staff pale,amenambia may be this week wanaweza kuita watu,cz bado wanamalizia taratibu zingine za ki ofisi,kumbuka ile ni bank na sio kampuni ya mizigo,kwa hiyo kuna process nyingi,hivyo ndivyo...
  6. E

    JamiiForums Lead Generator Barclays kuna matumaini au tuangalie usawa mwingine

    Vijana msijali,me nilienda pale nikaongea na staff mmoja akaniulizia,akasema wanamalizia process za ki ofisi ila,kazi tayari tumepata na muda sio mrefu wanatuita! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  7. E

    JamiiForums Jamani kazi hii kwa malipo haya ni sahihi?

    Hizo ni sparm vijana wenzangu,msijisumbue,hampati kitu.................................
  8. E

    JamiiForums NATAFUTA INTERNSHIP/volunteering work

    mimi ni graduate kutoka university of dar es salaam busineess school(UDBS),nimemaliza chuo mwaka huu,majoring in BCOM ACCOUNTING,naombeni msaada
Back
Top Bottom