Recent content by Edyman

  1. E

    JamiiForums Tanzania FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    Ww toa hoja zako usilete mbwembwe zako ktk bandiko la jamaa kama ww unaona amekosea na ww lete bandiko lako kupingana nae siyo kuponda tu.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Mkuu huo no Mkuu huo ni uwongo na ni upotoshaji mkubwa sana hvyo tuwe makini na hawa wanasiasa!!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ni gazeti la Uhuru pekee ndiyo lasema Bajeti ni ya ahueni

    Ww subiri waliosoma uchumi wakuchambulie hiyo bajeti siyo hayo magazeti yanayofanya kazi kwa mihemko,,hujasomea uchumi na wala hujui chochote mtu anaanza kuponda bajeti au kusifia,,ukimuuliza umetumia vigezo gani kwenye uchambuzi wako huna. Unaandika kuponda bajeti au kuisifia lkn ukisoma...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Mama Ndalichako, mnadhani mko sahihi kuichukulia Div.3 ya Sayansi sawa na ya Arts?

    Sababu wanafeli ndo maana hvyo kuwa favour bs wanawachukua hao wenye PCB au PCM ili kujaza nafasi lkn ECA wanafaulu wengi hvyo nafasi i akosekana kutokana na uwezo wa vyuo vyetu kuchukua wanafunzi
  5. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Mama Ndalichako, mnadhani mko sahihi kuichukulia Div.3 ya Sayansi sawa na ya Arts?

    W ww uliosoma PCB kuna uwezekano kama ungepewa paper ya history ungepata zero kwan kujieleza ukaeleweka ni jambo dogo?! Mtihani ni mtihan tu acha utoto unafikiri ukisoma hiyo HGL ndo utapata div 1
  6. E

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Pili: Rais Magufuli unakoelekea siko

    Unamaanisha utamchagua nani!
  7. E

    JamiiForums Tanzania N/Spika amesema anasimamia kanuni zilizopo, ambaye hajaridhika na maamuzi akate rufaa

    Labda ww ndo hukuona Labda ww ndo hukuona maana ss bunge lawezi january tuliliona kupitia azam Xtra!!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kuwafungia wabunge ni ukiukwaji katiba na kuwanyima wananchi haki yao ya kuwakilishwa Bungeni

    Kwahyo ww umekariri kuwa wakatu wote Zitto ni mtu asiye na nidhamu?! Na je ni nini kilimwondoa chadema kama siyo nidhamu maana alienda kinyume na taratibu za chama!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kuwafungia wabunge ni ukiukwaji katiba na kuwanyima wananchi haki yao ya kuwakilishwa Bungeni

    Yanayohusu ustawi wa chama chao hii ni kwa vyama vyote,,upinzani na ccm sasa hapo wanatuwakilisha vp!!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kuwafungia wabunge ni ukiukwaji katiba na kuwanyima wananchi haki yao ya kuwakilishwa Bungeni

    Una uhakika yote yanayopelekwa bu Yna uhakika yote yanayopelekwa bungeni ni matakwa ya wananchi wote wa jimbo hilo?! Au ww huoni kuwa wanapeleka mambo yao binafsi hasa yanayohs
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kuwafungia wabunge ni ukiukwaji katiba na kuwanyima wananchi haki yao ya kuwakilishwa Bungeni

    Kuna faida gani kuwa na mwakilishi wa wananchi ambaye hatimizi wajibu wake,,si bora tusiwe na mwakilishi tu tujue moja tu kuwa hatuna mwakilishi
  12. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Ni Tanzania pekee mwanafunzi anapata division 4 kidato cha nne na anaenda chuo kikuu

    Kaka jaribu ku Mkuu jaribu kufatilia heading na content ya mtoa mada.Kichwa cha habari anaonyesha waliofukuzwa lkn content inaonyesha ni general wala hawazungumzii waliofukuzwa tuacheni mihemko ya kisiasa!!
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana kipaji cha ubishi na sio hoja, awamu hii atakosa mvuto

    Jibu hoja siyo unaleta porojo hapa,,mtoa mada anasema inawezekana vp waziri asiwe na uwezo wa kuwawajibisha watendaji wake wa chini wakati yy mwenyewe Lisu anataka mawaziri wawajibishwe kwa makosa ya watendaji walio chini yake(waziri)!! Au ww hapo hujapaona?!
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nisingesema: Wanaokumbuka Misri Tukiwakubalia ...

    How How? wakati ww mwenyewe uliyeimba mabadiliko kwa sasa unataka kurudi Misri!!
Back
Top Bottom