Recent content by EDWIN BAJUNGU

  1. EDWIN BAJUNGU

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Watanzania wazalendo chagua Rais Magufuli chagua maendeleo. Rais Magufuli ametufanyia mambo mengi na makubwa sisi watanzania. Machache kati ya hayo ni haya.
  2. EDWIN BAJUNGU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maandamano na mikutano ya Lissu wakati akitafuta wadhamini ni ukiukaji au siyo ukiukaji wa sheria na kanuni za uchaguzi?

    Sisi hatujui sheria lakini pale kijiweni kwetu kulitokea ubishi baina yetu tukibishana kuwa maandamano na mikutano inayofanywa na mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Tundu Lissu wakati anapita mikoa mbalimbali kutafuta wadhamini kama ni ukiukaji au siyo ukiukaji wa sheria na kanuni za uchaguzi...
  3. EDWIN BAJUNGU

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya Rais Magufuli kingefanywa na Rais muislam basi angekosolewa vikali

    Zipo sababu za msingi kwa nini watoto wa kiislamu walikuwa wachache shuleni wakati wa utawala wa kikoloni. Kwanza wakoloni wa kizungu walitaka kila muafrika adharau vitu vyote visivyotokana na wazungu na kuheshimu vitu vyotrvvinavyotokana na wazungu. Hivyo walibeza adharani dini za asili na...
  4. EDWIN BAJUNGU

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye mali nyingi

    Amka Tanzania, amka kutoka katika usingizi bandia. Kaeni macho, kuweni chonjo, sasa semeni kuibiwa basi. Wametuibia sana, wametunyonya sana, wameigeuza Tanzania shamba la bibi. Wametajirika kwa rasilimali zetu. Ndiyo wametajirika kwa madini yetu, wanyama wetu, malighafi kutoka katika mashamba...
Back
Top Bottom