Recent content by EDSON FAUSTINE

  1. E

    JamiiForums Tanzania First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    kwa wale ambao tulikua tumesubilia admission letter za udom special diploma tiari zemesha wekwa kwenye website ya chuo.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya kidato cha nne imebadilishwa?

    when the water pouring down con not be fatched again.form four jiandaeni kufanya mtian tarehe ni ile ile mungu awabaliki sana katika jina la yesu.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Bima afya UDOM

    Naomba mnisaidie,hivi tarehe ya kufungua chuo cha udom 31/10/2015,ndipo na wale waliochaguliwa diploma wanatakiwa kufika tarehe hiyohiyo au ni tarehe tofauti na ni tarehe ngapi?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Bima afya UDOM

    kama kawa wadau hivi tarehe ya kufungua chuo cha udom kwa wale waliofunga n lini?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Bima afya UDOM

    habari zenu wakubwa,naomba kwa yule anayejua tarehe ya kuripoti UDOM kwa wale waliochaguliwa special diploma mwaka huu anijuze pamoja na vitu vya kwenda navyo.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Bima afya UDOM

    wametoa muongozo wa ujazaji fomu ya bima ya afya je,vp kwa wale waliochaguliwa special diploma mwaka huu nawao wanapaswa kujaza fomu hizo?
Back
Top Bottom