Recent content by edrick me

  1. edrick me

    JamiiForums Tanzania Pata taarifa za masoko kwa sms

    Pia unaweza kutembelea mitandao yetu ya kijamii ili kujiridhisha fb, twitter na instagram @esokontz pia forums zetu za e-sokoni. Au fika ofsini kwetu mtaa wa Ohio jengo la amani place gotofa ya Saba.
  2. edrick me

    JamiiForums Tanzania Pata taarifa za masoko kwa sms

    Karibu sana mkuu unakaribishwa kuijaribu
  3. edrick me

    JamiiForums Tanzania Pata taarifa za masoko kwa sms

    Kupitia mtandao wetu wa e-sokoni sasa unaweza kuwa unatumiwa taarifa za masoko na tenda mbai mbali za mazao kwa njia ya ujumbe mfupi. Hapa utakuwa unatimwa kila zinapojiri bei za mazao sokoni, hali ya hewa, taarifa mhimu za kilimo, uhitaji wa mazao mbali mbali. Jinsi ya kujiunga -Ingia kwenye...
  4. edrick me

    JamiiForums Tanzania Kuuza au kununua mazao kiasi chochote tukutane hapa

    Taarifa njema kwa wale wote wenye viwanda, mashime za kusaga na kukoboa, na wale wote wanaohitaji mazao mengi kila mwezi, wiki au mwaka, sasa unaweza kupata kirahisi. Kama unanhitaji kuuza au kununua mazao yote kwa kiasi chochote hapa nchini wasiliana nasi kwa namba 0753688348 email...
  5. edrick me

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kushiriki nane nane

    Ahsante kwa ushauri mzuri sanA
  6. edrick me

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kushiriki nane nane

    Ahsante sna Ahsante sana mkuu huu ni mtandao ambao unakutanisha wakulima na wanunuaji not kwamba tunataftia wakulima masoko yaan kwamba lenyewe ndio soko. Wewe mnunuaji utakutana na muuzaji kupitia forums na hiyo ni free. Utakuja na bidhaa yako utaweka na mwingine atakuja na ofa yake mtajadili...
  7. edrick me

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kushiriki nane nane

    Ahsante sana mkuu
  8. edrick me

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kushiriki nane nane

    Ahsante ndio nimeomba kama una uelewa wowote kuhusu utaratibu huo na kwa nda hii (Dar es salaam) inafanyikia wapi
  9. edrick me

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kushiriki nane nane

    Tuna kampuni yetu mpya inajihusisha na masuala ya kilimo (Esokoni) inahusika kuunganisha wakulima na wanunaji yaan Masoko. So tunaenda kutangaza huduma zetu.
  10. edrick me

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kushiriki nane nane

    Wakuu naomba kujuwa ni hatua zipi natakiwa kufuata ili kuweza kushiriki katika maonyesho ya nanenane yaan taratibu za kupata banda nk. Nianzie wapi, na kama unajua gharama zake naomba nijuze. Ahsant
  11. edrick me

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kushiriki nane nane

    wakuu naomba kujuwa ni hatua zipi natakiwa kufuata ili kuweza kushiriki katika maonyesho ya nanenane yaan taratibu za kupata banda nk. nianzie wapi, na kama unajua gharama zake naomba nijuze. ahsante
Back
Top Bottom