Tuone kama ameuweza mtihani wa hongo kama Lissu alivyouweza, maana kama moja ya Mawazili wa Umoja wa Ulaya alihongwa dhahabu na akausifia mwenendo wa uchaguzi huku akishutumiwa na wenzake, Kadinali Rugambwa ataushinda mtego huo?
Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini?
Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua...
Kama wameweza kulipa gharama za upangaji wanahadhi ya kupanga, nikua ghalama ndio hupanga hadhi ya biashala, yani mfano ukitaka eneo fulani liwe la watu wenye hadhi unapandisha bei eneo lile kwamba kama maeneo mengine ni milioni 2, yale yenye hadhi unaweka yanakua makubwa halafu yanakua milion...
Hii nchi bwana haiishiwi vituko yani nikama kila sekta pana watu wasiokua na weledi na fani wanazozitumikia yani.
Pamoja nakua tunapokua shuleni na vyuoni tunakumbana na misemo nahau vitendawili methali na kadhalika lakini havitusaidii lolote. Kwamfano unaweza kushangazwa na Jeshi la Polisi...
Hawata mfanya chochote huyo ni mwenyeji wa Igunga Mr Daudi Phamacist na mwanakwaya wa kwaya ya cristu mfarme ya kanisa katoliki hapo Igunga ambayo kwaya hiyo moja ya wanakwaya wake ni Mama yake mzazi wa Mbunge wa jimbo hilo Nicholas Ngassa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.