Recent content by edo des

  1. E

    JamiiForums Kwa wale jobless wenzangu tusaidiane ni mbinu Gani unayotumia kujipatia kipato cha kuendesha maisha

    Kaka wengine ndipo tulipojifunza kuna kaz zinahitaji nguvu tuu ili kutoka, na ukipata hela kidogo kuwa mbunifu wa biashara, huku kaz ngumi hujaiacha. Mi niliingia machimboni baada ya kumakosa shule stil mpaka sasa huwa narudi mjini nasotea ajira ila nkiona znazingua naginhiwa tena chimbo, kuna...
  2. E

    JamiiForums Natafuta kazi yoyote ya kufanya, nina elimu ya kidato cha nne

    Naitwa edgar nina elimu ya kidato cha 4. Mwenyeji wa arusha ila kwa sasa npo lindi nachingwea. Nauzoefu wa kazi za uchimbaji mdogo na wa kati, kazi hii nimefanya kwa miaka takribani 6, pia kusimamia biashara kubwa. Kwenye kaz za uchimbaji naweza kuchoronga kwa kutumia mashine (jeck hammer). Pia...
Back
Top Bottom