Nsumbazunya
unajua ww n mwelewa lakini n mbxh nadhani umenielewa ila n jeuri yako tu
hii ni typng error ila nmeeleweka na ndio maana najibiwa.
BADILIKA MKUU
akhsante mkuu ila mm nmeona kwenye tovuti nyngne zikionyesha uwepo wa post za cheti kw wanafunzi tuliohitimu miaka ya nyuma tangu 2012 kurud nyuma na inaonyesha wanafunzi wengi wametokea huko kw wale wenye iv ya 26 na 27.
mf blog ya makambakokwetu.
Naombeni msaada wenu, mimi nilikua nnatumia NOKIA 210 RM-924
Lakini chakushangaza sasa nikiweka tu betri kuna maandishi yanajitokeza, yameandikwa (contact service) na ukiiwasha haiwaki.
Je,nifanyeje na simu yenyewe ni mpya kabisaa nimeitumia siku mbili tu.
Naombeni msaada wenu tafadhali
Kwa...
sekta gani hii yenye uongozi mbovu ucokidhi mahitaji ya watumiaji wake
yaan hii wizara inakera jaman inaleta stress kila cku au ina laana hii?
y haitujali?
hv watumshi wake wanapokea mshahara kweli kila mwezi?
kwa kazi ipi?
tumechoka bwana kama vp waongee moja tuelewe co tunawekana matumbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.