Recent content by editha oby

  1. editha oby

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Asante kwa maelekezo mazuri, kwahiyo nimpaka niende Dar wizarani ama kuna utaratibu mwingine mf online?
  2. editha oby

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Lab Labda mie ndo nimekosea, Je Mikopo midogo midogo inatakiwa iitweje kama micro finance inataka 800mil?
  3. editha oby

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Lengo ni kukopesha wafanyabiashara wadogo wadogo kabisa.. Naomba muongozo wako tafadhali.
  4. editha oby

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Ninafikiria kuanzisha micro finance kama ya SEDA, PRIDE na FINCA. Ninaomba kama kuna mtu yeyote anayejua mchakato wa kupata leseni anisaidie kunipa maelekezo. Mchakato wa kampuni nimeshamaliza. Tatizo lilobaki ni leseni. Nimejaribu kutafuta website ya viwanda na biashara naona haipo hewani...
  5. editha oby

    Mfanyabiashara Moshi Ajimwagia Petroli na Kujipiga Kiberiti

    Mambo Mengi Huku, Pesa nayo inachangia mengi kufanywa!!!!!!!
Back
Top Bottom