Recent content by ediom

  1. E

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    "Magufuri"....asylum resident... tehe tehe, jipe moyo na huyo magufuri wako....
  2. E

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    Hao viongozi wa fisiem na serekali yao ndo wameshindwa kuboresha hiyo miundombinu ya watu kutafuta pesa, ndio mana Tanzania ni moja kati ya nchi maskini sana duniani kwa kuangalia kipato cha wananchi wake....hata kama wamefanya lakini muda ya miaka 50 hauwiyani na kiwango cha maendeleo...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Top websites for free Online college courses where you can upgrade your education

    Asante kwa hizo taarifa, they are very useful. Hivi tunaweza kutumia hizi course ku gain credits kwa universities? mfano mimi nafanya PhD, natakiwa before graduation niwe nime earn 30 credit points kwa ku attend short courses related to my field, sasa hizi course zipo accredited kuweza...
Back
Top Bottom