Recent content by edgar chacha

  1. E

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    binafsi naona impression yake ndani iko vizur pia. Tatizo lililopo ni moja tu kwamba watu flani wana wateule wao wa urais na inapotokea mtu akiibuka midomon mwa watu kwenye hiyo nafas basi mchango wake unadharauliwa, kuchakachuliwa ili aonekane c chochote. Mfano hai n Zitto wa chadema japo...
  2. E

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    binafsi nampongeza kwa kuwa mwazi na kushiriki mahojiano sio kunagua na kusubr had wawe TBC au ITV ndo uone ni serious kiongoz wa watu yeyote lazima available by all means kwa watu wake na hapo ndipo uwajibikaji utawezekana. Kwa sababu kiongoz akijificha ficha tutamkuta wap tumweleze shida zetu...
  3. E

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    We unawajua CIA? Usishabikie usichokijua. CIA hawahitaj demokrasia kupata wanachokitaka. Sema labda hupendi kuona vijana wakishika nyadhifa kubwa
  4. E

    Rais Kikwete: Mbowe anakosa uwezo, jambo la wengi halitaamuliwa kwa ngumi

    kauli nyingine bangi tupu. Eti ngumi na mateke au kwa kuwa wabunge wote wa chadema ni maboyguard wake? Mwambieni mbowe apunguze bangi. Ukishangiliwa sana co mda utazomewa
  5. E

    Maamuzi magumu: Hii kadi ya CHADEMA adhabu yake risasi na petroli...

    ukitaka kujua chadema ni mambumbu ni huu wendawazimu wa kuunga mkono kila matamko yanayotolewa na viongoz wao bila kujali kama wamepotoka au la. MaCDM mengi hayataki kuchanganya akili yao na ile ya kuambiwa. Ipo siku mbowe atasema ukiiona ofc ya ccm kakojoe pale utasikia nchi nzima yamefanya...
  6. E

    Lowasa ajiandae kufungishiwa virago CCM.

    Kweli kiongoz maana lazima jana pesa zimetembea kutengeneza matamko ya kupinga baadae itakuwa kituko. Sio mda wa kucheza mbali na media na social networks
  7. E

    Lowasa ajiandae kufungishiwa virago CCM.

    Aisee hiyo itafaa maana itabd watuambie mirad wanakotoa haya mamilioni
  8. E

    January Makamba, Hamisi Kigwangalla, Nape Nnauye, na Zitto Kabwe...alliance ya ushindi Urais 2015

    Tanzania inabadilika, tumeona mchango wa wabunge vijana na sasa ni mda muafaka tuone mchango wa rais kijana
  9. E

    Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

    So unataka mpaka uambiwe utafiti umefanywa na profesa au nani ndo uone kama ni utafiti. Being critical is not about running from new knowledge, it's about taking it, analysing it critically searching where you can apply it and finally applying it when there is a place for it or dumping it if...
  10. E

    Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

    Kuna watu wanadhani hii mada nimeileta kishabiki bila utafit na wengine kuhoji elimu yangu. Mara nying msomi hawez kuwa na mawazo dhaifu ya kuhoji mtoa mada au mchangia hoja ana elimu gani, na ndio maana vitabu vingi vinavyoandikwa na wasomi hutakuta baada ya jina la mwandishi aandike yeye ni...
  11. E

    Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

    Katika kile kinachoonekana kujihakikishia Urais 2015 aliyewahi kuwa waziri mkuu (sio waziri mkuu mstaafu kwani uwaziri sio nafasi ya kuajiriwa na kisha kustaafu) ndugu Lowasa ameanza ama anaendeleza kazi ya kuwamgia mamilioni viongoz wakuu wa chadema katika kumsafishia njia. Najua suala hili...
  12. E

    Vyuo vikuu wampendekeza January Makamba kuwa Rais ajaye

    Hawa wanaosema Mbeya hakuna Univwrsities wapo Tanzania kweli? Acha siasa. Wasomi sio mashabiki wa siasa bali n political analysit. Kazi yao ni kuangalia nani anaweza kwa vigezo vya kisayansi sio uwezo wa kuaminisha wananchi kwamba ukichaguliwa wewe na chama chako wananchi watapaa kimaendeleo...
  13. E

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Kabisaaa tangu lini jirani akajua matatizo ya ndani kwako na hata akijua hawezi kutilia maanan kuyatua kwan naye ana yake. Wazee wanadeal na ya wazee so na vijana tutadeal na yetu na yao pia kupitia kwa kijana mwenzetu. Ni mda wetu sasa
  14. E

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Hakunaga kama vijana, na hakunaga kama makamba. It's our time, it's our era. Haina kusubr zaid kwan matatizo ya vijana yatatatuliwa na vijana wenyewe.
Back
Top Bottom