Recent content by eden kimario

  1. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli watu wana rogwa au ni stori tu tom and jerry

    uchawi upo ila ni kitu kidogo sana, wewe mwenyewe unaweza kuwa na huo uchawi au ukawa umelogwa pia.
  2. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Rais samia usikubali alichofanya Magufuli 2020 kitakurudia na wewe

    watu wa majira ya nchi, kulingana na awamu za uongozi wananaelewa haya mambo
  3. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Rais samia usikubali alichofanya Magufuli 2020 kitakurudia na wewe

    hiyo ni juu yake, mimi naonya tu kulingana na majira ya nchi yalivyo.
  4. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Rais samia usikubali alichofanya Magufuli 2020 kitakurudia na wewe

    ataokolewa na mengi
  5. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Rais samia usikubali alichofanya Magufuli 2020 kitakurudia na wewe

    ni vizuri kuonya anayesikia na asikie
  6. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Rais samia usikubali alichofanya Magufuli 2020 kitakurudia na wewe

    sitaki sana kusema mengi kwako samia, kwa sababu najua pia kama ccm ingeamua kupiga kura kuchagua mgombea urais, ungeshindwa. ila waliamua kuivunja katiba ili kukufanya kuwa mgombea pekee. sasa onyo langu na la wengi katika ulimwengu wa kiroho wa Mungu, wewe na wenzako, msithubutu kufanya...
  7. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    tunaposema nyota, tunamaanisha atoae kibali ambaye ni Mungu na shetani nae hana kibali cha kumpa mtu wake ila ananyonya vya watu wa Mungu, ambao wameacha maombi ambayo ni silaha kuu ya ushindi kwa wapakwa mafuta, iwe ni waimbaji au wahubiri ambao wanajiona wamefika na wanasahau maombi kila siku.
  8. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    we kila siku unamsema shetani na vibaraka wake, halafu unaishi bila maombi ya nguvu. lazima akunyooshe.
  9. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    mambo ya kiroho ni magumu sana
  10. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    kilichomfanya achome ni mambo ya kiroho na kile ambacho kingekuja kumpata baadae hizi sheria za nchi watajua wenyewe
  11. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    hakuna maigizo haya mambo ni magumu sana kuyaelewa sasa hivi atachipuka tena
  12. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    kuna pande mbili duniani ya Mungu na ya satani au shetani . kila upande unataka kuharibu upande mwingine. japokuwa aliyetutaka tuwe huru kuchagua upande ni Mungu.
  13. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    usiseme usichokijua mwenzio alikuwa anaumia
  14. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    salama yake ilikuwa ni kuchoma na sio kuliuza
Back
Top Bottom