Recent content by Eddy Van

  1. Eddy Van

    JamiiForums Msaada: Namna ya kubadili cheo katika Kada ya Afya

    Yan niliajiriwa na certificate mda huo nilikuwa ndo nmemaliza diploma nasubiri vyet vya diploma
  2. Eddy Van

    JamiiForums Msaada: Namna ya kubadili cheo katika Kada ya Afya

    Oky sawa thanks...duh hapo inaonesha ni kukomaa nao tu
  3. Eddy Van

    JamiiForums Msaada: Namna ya kubadili cheo katika Kada ya Afya

    Habari jamani Naomba kufahamu juu ya kubadilisha cheo. Niliajiriwa kama Muuguzi mwaka jana mwezi wa saba wakati huo nilikuwa nimesoma Diploma ya Uuguzi vyeti vimetoka mwaka huu mwez wa pili Je, kubadilishwa cheo ni mda gan unachukua?
Back
Top Bottom