Habari! Chills Logistics Company Ltd tunakuletea fursa ya kazi kwa madereva wote
Sifa:
1. Uwe na leseni hai
2. Uwepo Dar es salaam
3. Uwe na uzoefu wa miaka 3 na kuendelea
4. Uwezo wa kufanya kazi usiku
Kama una sifa tajwa hapo juu karibu. Tutumie leseni yako whatsapp na namba yako ya simu...
Kitu cha kuongezea madereva hawaja ajiriwa hata wewe unaweza Kuja kujiunga nasi na tukakutftia nafasi ya kazi sio Uber na Bolt ila kuweza kuwaendeleza madereva tunasimama kama chombo cha kusimamia registered drivers ili kutoa hofu kwa wamiliki na kuongeza wawekezaji kwenye hii biashara maana...
Hapana hatuleti uchawi ila sidhani kama kuna kipengele kimoja kilicho tajwa ila vipo vingi so hata wewe dereva ambae upo unafanya kazi unaweza kupatiwa msaada wa elimu ya kujiwekeza na kujikwamua halka dhalika tukijaaliwa tutaanza kutoa mikopo kwa madereva wote tuishi kwa upendo asante
Sioni sababu ya wewe kututukana sisi kwasababu sisi pia tunapambania watu ambao wanashida na kazi sio kwa ubaya pia kama itakupendeza unaweza kuhudhuria training zetu tuweze kujikwamua kwa pamoja hakuna sababu ya kurushiana maneno asante
Our company Ina offer huduma nyingi so kwasasa hii huduma mpya kutatua changamoto na mchakato ni mwepesi utaoweka appointment ya kuonana ofisini utatupa vigezo vya dereva unaemtaka tutakupa files za madereva utachugua unaemtaka kulingana na vigezo vyako tutaanza kazi Bila kusahau tutakusaidia...
Nafikiri hakuna sehem inahusisha pesa kwenye huu uzi. Nahisi tunaweza comment kitu bora Zaid ya hiki au hata kuuliza swali kwa manufaa yako na wote asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.