Recent content by Eddah hezron

  1. Eddah hezron

    JamiiForums Natafuta kazi nina shahada ya Sanaa ya Ubunifu

    Mbali na degree Mimi ni msusi
  2. Eddah hezron

    JamiiForums Natafuta kazi nina shahada ya Sanaa ya Ubunifu

    Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 22 ,nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu ngazi ya shahada ya Sana'a na ubunifu yaani(bachelor of arts in art and design) ambayo imebeba mambo kama, FASHION DESIGN PHOTOGRAPHY JEWERLIES Kama ntaweza kupata kazi yoyote ya halali kwa sasa hata kama ni nje ya...
Back
Top Bottom