Recent content by econonist

  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    Hivi Msajili wa vyama vya siasa Hana muda wa kustaafu.
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

    Umepotosha sana. Sio vizuri kuongea uongo. Mastahi hajawahi kusumbuliwa na hata Suala la Kimaro , ni Kimaro mwenyewe aliomba radhi hadharani kanisani mbelel ya Malasusa ndipo akasamehewa.
  3. econonist

    JamiiForums Tanzania SAMWELI KIMEKUMTA NINI TENA? AMETISHIWA AMANI BAADA YA KUDAI POSHO ZAKE?

    Kipi kipya? Amefukuzwa Makamu wa Rais wa Tanzania , wewe unahangaika na Mwenyekiti wa Kanda.
  4. econonist

    JamiiForums Tanzania Aliyeandika hivi amechukuliwa hatua gani?

    Wanadamu hawajifunzi kabisa. Sasa akipotea yeye ataishi milele.
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Mambo mabaya yanasemwa kuhusu Mwamposa

    Naona umeandika udaku. Wapi Mwamposa hapo?
  6. econonist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    Huyu ndio aliimaliza CUF, ila CHADEMA ameishindwa.
  7. econonist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    ACT ni tawi lenu.
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    CHADEMA ipo site inafanya mikutano, nyie mmejifungia na huyo msajili wenu mnapika majungu.
  9. econonist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    CHADEMA imeawaachia muendelena mambo yenu. Haikushiriki uchaguzi iliwaachia wenyewe mkajaziana kura, Sasa mnahangaika nayo ya Nini?
  10. econonist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    Akifute tu.
  11. econonist

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rais wa zamani wa Brazil, Bolsonaro, mke na Watoto Washinda Nafasi za Useneta. Mtoto mkubwa Aongoza Kura za Rais. Vipi ingekuwa Tanzania?

    Mtu analinganisha Brazil na Tanzania ambako kupewa kosa la uhaini ni kigusa tu.
  12. econonist

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Maridhiano si kushinikiza upande mmoja kuukubali mwingine

    Wewe na nani? Wakati ulikuwa umejificha uvunguni? Wengi waliouawa sio walioandamana.
  13. econonist

    JamiiForums Tanzania Chivayo umejua kutuliza Watanganyika

    Italipiwa kwenye bei ya mafuta.
Back
Top Bottom