Recent content by Economist 12345

  1. E

    JamiiForums Kuna uhusiano wa kuota ndoto mbaya ukilalia mgongo (Chali)?

    Swala sio kulala na biblia au msaafu. Kumbuka hata hao wanaokukaba wanaenda kanisani au msikitini. Usalama wako upo katika kuwa na moyo Safi ili ulinzi wa Mungu uwe kwako, otherwise utakabwa hadi ujikute upo kuzimu
  2. E

    JamiiForums B.A in Sociology na Masters in Development

    Kama ur undergraduate GPA is above 3.5 then send ur application to academic inst.
  3. E

    JamiiForums Natafuta kazi

    If ur GPA in ur degree is ABOVE 3.5 then why can't u check with the academic institutions?
  4. E

    JamiiForums Msaada please

    Kaka nadhani hujanipata vema, nimeandika kuwa pia Nina Master of science in finance and Investment (Msc in finance and investment) with B+. Nimesoma vyuo vizuri sana vinavyotambulika na TCU. Sijapenda kutaja jina la vyuo nilivyosoma coz inaweza kuwaimbalance wengine wakadhani najidai. Thanx...
  5. E

    JamiiForums Msaada please

    Habari wanajamii forum, naomba mtu yeyote anayeweza kuniunganisha na kazi ya kufundisha chuo. Nina bachelor of art in economics with overall GPA of 3.6, and Msc in Finance and investment with B+. Please wapendwa nawasilisha. Number yangu ya simu ni 0655911054
Back
Top Bottom