Recent content by Echazzy

  1. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

    Ogaaah! Ilkuwa INARUHUSIWA kufanya naye ngono KWA kulipia na waliingizwa pesa nyingi sana
  2. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

    Katika kabila la Khoikhoi huko Afrika ya Kusini mnamo mwaka 1789 alizaliwa mwanamke mmoja mwenye maumbile makubwa ya kuvutia kama unavyomuona katika picha. Umbo lake liliwavutia sana wazungu na kufanya mwaka 1810 apelekwe uingereza ambako alitumika kuwa KIVUTIO cha watu kwenye maonesho ya...
  3. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu kabila la Mumuila nchini Angola

    Ogaaah! MWANAMKE mzur kwao lazma awe hvyo
  4. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu kabila la Mumuila nchini Angola

    Ogaaah! Kabsaa
  5. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kufanya mapenzi hadharani inaruhusiwa Uholanzi, tena kweupe sio gizani?

    Ogaaah! Wewe sio muafrika??
  6. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Historia iliyowekwa na Martin Pistorious iliyofanya aitwe ghost boy, wapo walioamini alikufa na kufufuka

    [emoji117]Pichani anaitwa Martin Pistorious jina lake maarufu ni Ghost boy raia wa Africa kusini anaishi katika mji wa johanesburg. [emoji116]Mnamo mwaka 1988 Martin ali ugua kwa ugonjwa wa T.B na Crypococcal meningitis baada ya kupelekwa hospitali hali yake ili badilika ghafla na kupoteza...
  7. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu kabila la Mumuila nchini Angola

    Pichani ni kabila la Mumuila kutoka nchini Angola Kabila hili lina urembo wa aina yake na wa kipekee haswa. Wanawake katika kabila hili husiliba nywele zao na aina fulani ya msago wa rangi nyekundu mithili ya samli mafuta haya wenyewe huyaita ‘Oncula’ Halafu huchanganya na mafuta mengine kutoka...
  8. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kufanya mapenzi hadharani inaruhusiwa Uholanzi, tena kweupe sio gizani?

    KUFANYA MAPENZI HADHARANI INA RUHUSIWA KATIKA JIJI LA AMSTERDAM katika nchi ya Uholanzi. [emoji117]Ndio unaruhusiwa kufanya mapenzi hadharani ukiwa katika jiji la Amsterdam Nchini Uholanzi ISIPOKUWA ni kwenye maeneo maalumu tu nazo ni maeneo ya bustani. Moja ya bustani maarufu nchini Uholanzi...
  9. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya muziki wa Disko Tanzania

    Ogaaah! Huyo jamaa si alkuwa pale Clouds FM??
  10. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Fahamu jamii ya Mangbetu

    Ogaaah! Naomba uniadd hilo kundi please
  11. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ruby, mwanamke mweusi aliyesoma kwa tabu na ukandamizaji wa ubaguzi wa rangi huko nchini Marekani

    [emoji117]Ruby Bridges alizaliwa mnamo mwaka 1954 akiwa na umri wa miaka 6 alikuwa mtoto wa kwanza marekani mwenye asili ya Afrika alisoma katika shule mchanganyiko na wazungu. [emoji117]Mtoto huyu aliteseka sana siku ya kwanza anaanza shule serikali kuu (federal government) nchini marekani...
  12. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mtu mti (tree man)

    Ogaaah! Kabsa
  13. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mtu mti (tree man)

    TREE MAN (Binadamu mti) Dede Koswara ni mzaliwa wa Indonesia ni binadamu aliyezaliwa na tatizo la ugonjwa unaosababishwa na fangasi unaojulikana kama Epidermodysplasia verruciformis. [emoji117]Hali hii ilimfanya ajulikane zaidi kama "Binadamu mti" Tatizo hili huambatana na kukua kwa fangasi...
  14. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu Thomas Sankara

    Ogaaah! Alkuwa pia akihimiza watu wafanye KAZI, aliwapa wakulima pembejeo za kilimo pamj na mashamba na alkuwa anapita na baskeli yake kukagua mashamba ya kila kijiji KWA namna hyo watu wengi walipambana na umaskini KWA vitendo na sio kuandaa andaa seminar za uongo na kweli na kujidai...
  15. Echazzy

Back
Top Bottom