Dah!! si inasomeka lakin
Ingia tena kwny account yako utakuta namba yako yausajili. Ni vzur kuifaham
Wtakutafta kwa cm au text message kwa maelekezo mengine.
Mi naon kikubwa nikuhakikisha mtu umepiga hatua! Ndio tumesoma, ila urahis wamaisha bdo upo kweny juhudi zetu wenyew! Tutatumika sana ila tuhakikishe tuna add value...umepat intern hulupwi kaz kbao ila jua mwsho wasiku una (update Cv yko, umegain experience, umetok na connection ya watu, una...
Umetoa yamoyon[emoji23] sad truth! Kwa jins ulivyoshuka na upo kweny intern ni dhahir kwamba hakuna chchte upande wa maslah! Pole sana!
Em fafanu kdogo hpo kwny ugum wa sku yakumaliza inakuaje ngumu?
Ofcoz yes, kwa mujibu wa messages hapo juu! Cha ajabu nmeenda na vyet havikuguswa! Nmekutana na semina kwanza and then tukaunga interview hpo hpo!
Niseme mambo sio mengi hawachoshi!
Kinachofata sijui ni nn nasubili kama wengine.
Wakuu niulize tena make naon mambo ynakwenda spidi haya! Nmesajil juz jumapili leo napata text message niende n vyeti OG ofis za Taesa Mwanza kwa ajili yakukamilisha interview.....nlidhan yanaanza mafunzo kwanza! Hii imekaaje asee
Ahsante
Hiz category hazipo specifically, yaan nkiangalia hapa holla sion mm! ... zko grouped in general names na ilobak nayohis his labda "information and communication technology" ila wap na wap[emoji1]!! kama kuna uwezekano wakutoa details nkasaidiwa ntashkuru sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.