Katika Hilo mm sidhani km ni kwa upande wao tu hii inasimama kote assume anakuwa na mwanaume kwa muda mrefu sababu ya pesa/au kipato chake kwa mrefu baada ya kukosa pesa mda mchache ooh wewe sio type yangu siwez kuolewa na wewe hyo sio kumchezea mwanaume aliekuwa anatengeneza malengo na wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.