Kabla ya kukupa mawasiliano yake naomba nijaribu kuyafanyia kazi maoni mbalimbali ya wadau kisha nitatoa mrejesho, kama hali itakuwa mabya zaidi nitakupa mawasiliano yake.
Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa
Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.