Recent content by eberneza

  1. eberneza

    Baraza la Mawaziri kusheheni wabunge wa kuteuliwa na Rais

    Huo ni uzushi,JPM ni mtu wa siri sana,subirini tu mtaona.
  2. eberneza

    Tathmini ya Migomo ya UKAWA Bungeni: Mingi ni Udaiji wa Madaraka tu!

    Naunga mkono myoa mada,Hawa Ukawa wana uchu wa madaraka sana hawana la maana,na kwa mtindo huu CCM itazidi kuwaburuza.
  3. eberneza

    Mkuu wa Kaya, waombe radhi watu wako kwa niaba ya chama chako

    Tulieni hapo hapo ili dawa iwaingie nyie wa ukiwa.poleni sana hapa kazi tu.
  4. eberneza

    Mkuu wa Kaya, waombe radhi watu wako kwa niaba ya chama chako

    Ukawa inawauma sana poleni,ni chungu lakini haina namna!!
  5. eberneza

    Rais Magufuli: Fedha za hafla ya Bunge zinunue vitanda Muhimbili

    Yaani humu ndani kuna watu wako ukawa lakini hawajitambui,mi mwenyewe ni mwana ukawa but nampongeza sana pombe.amefanya vizuri.Mbona watu mnatoa comment za ajabu sana.hivyo vitanda alopoenda muhimbili alikuta wagonjwa wengi wamelala chini sasa ameamuru fedha ziende kununua vitanda lkn bado watu...
  6. eberneza

    Nina wasiwasi na Naibu Spika kama atalihimili bunge

    Bado anahitaji muda mwingi wa kujifunza ktk hilo
  7. eberneza

    Mchumba wangu kaenda chuo cha polisi

    Mi naona huyo dada kafanya uamuzi wa busara baada ya kutambua ugumu wa ajira kwa sasa ameona unamkatalia asiende CCP ili aende chuo kingine then aje apate shida ya kutafuta ajira,CCP ukimaliza tu umesha ajiriwa.Brother dont panic muangalie kwanza suala la kuchukuliwa na wengine anaweza kulifanya...
Back
Top Bottom