Recent content by Eberhard

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

    TAL kazi hapo hapo, Pasco ametumwa huyu. Yeye mwenyewe ni CCM
  2. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

    Mimi imani yangu ni mkristo. Hata hivyo naona Kitu kibaya hapo si kuwajengea msikiti. bali ni huko kuomba arudishwe madarakani.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ni Sababu za msingi kwa Watu wote kuichangia Chadema ili kusambaza "NO REFORM NO ELECTION"

    Chadema waweke namba/akaunti haraka ili tuwachangie
  4. E

    JamiiForums Tanzania Chadema waanza omba omba

    Tupo tayari kuwahangia Chadema
  5. E

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Mpango wa shetani huwa hausimami. Acha tuamini tunachoamini na waho waamini wanachokiamini. Mungu anajua yote, pia huna mamlaka ya kuhukumu mwingine maana hata biblia imesema msihukumu. Mungu hachunguziki. Asa so long as wanamwamini Mungu wa Ibrahim tunayemwamini tatizo ni nini?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Sasa hiyo ndiyo chuki yenyewe na sijui inakusaidir nini
  7. E

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Yeye hatukanini dini nyingine. Waislamu pia wanaomwamini Yesu ni mtumishi wa Mungu/mtume wa Mungu. Hivyo si shida kumuweka hapa. Tatizo wengi wetu tunaogopa uislamu na kuuwazia mabaya. Dini hiyo ni ibrahamic religion. Ni mpango wa Mungu kama ilivyo kwa uyahudi na ukristo. Hakuna awezaye...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Naomba nikiri kwamba mm ni mkristo mfla dini. Huwa nafatilia mafundisho yake. kifupi ni mafundisho mazuri na siyo ya kigaidi kama mnavyokiria. Mwacheni aje afundishe/ ahubiri imani yake.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Trump kuendelea kuisapoti Ukraine katika mapambano yake dhidi ya urusi

    Yes hata mtume aliuwawa na binti wa kiyahudi. Mtume alikuwa na kawaida ya kupenda wanawake na kuoaioa. Alioa wanawake zaidi ya 10. Alepoea binti wa kiyahudi yule binti alimwekea sumu mtume na kisha mtume akaugua then akafa. Kabla ya kufa alipomuuliza binti wa kiyahudi sababu ya kumuwekea sumu...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui mambo mengi kuhusu Taifa la Israel

    Ndiyo majira ya wapelesstina (wavamizi) kukaa pale Israel yameshatimia, wenye mji wanataka. mji wao, msikiti uondolewe na hekalui la Suleiman rijengwe,
  11. E

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui mambo mengi kuhusu Taifa la Israel

    Waisrael halisi ni wapalestina +wairan au siyo ?
Back
Top Bottom