Recent content by ebayzanzibar

  1. E

    ushuru bandarini dar

    jamani wana jamii ningependa kujua utaratibu nagharama za kuitoa gari hapa dar ambayo inatoka zanzibar,imeshalipiwa ushuru huko zanzibar, je kuna gharama gani kuipitisha hapo dar kutokea zanzibar????????? ahsanteni
  2. E

    D.i.t and mist(mbeya)

    asanteni wakuu, ila hapo nikiapply sitakua private student??????? mimi nilitaka govt sponsershp.... nimepata div 2
  3. E

    Ninaachana na A-Level naenda D.I.T kusoma Diploma in Mining Engineering, Inalipa?

    HABARI WANA JAMII mimi nimhitimu wa kidato cha nne, ningependa kujua taratibu za kupata nafasi ya kujiunga na DIT AU MIST, DIPLOMA. sikuchagua kupangiwa tech collg kabla ya kufanya mtihani, je naweza kupangiwa kwa wakati huu na serikali?? pia ningependa kujua taratibu zote za kujiunga hapo kwa...
  4. E

    D.i.t and mist(mbeya)

    .HABARI WANA JAMII mimi nimhitimu wa kidato cha nne, ningependa kujua taratibu za kupata nafasi ya kujiunga na DIT AU MIST, DIPLOMA. sikuchagua kupangiwa tech collg kabla ya kufanya mtihani, je naweza kupangiwa kwa wakati huu na serikali?? pia ningependa kujua taratibu zote za kujiunga hapo kwa...
  5. E

    Gari linauzwa bei nafuu zaidi

    HELLOW GARI AINA YA DAIHATSU MIRA ,MODEL YA MWAKA 2003, CC 1300 ECONOMIC, AUTOMATIC TRANSMISSION,RIGHT HAND DRIVE.IN EXELLENT CONDITION. KWA MAELEZO NA KUPATA PICTURE ZAKE HALISI, INGIA FACEBOOK PAGE ,EBAYZANZIBAR, AU TUANDIKIEEMAIL ebayzanzibar@gmail.com BEI NI NAFUU SANA JUS 5.3MILLS ,MAPATANO...
Back
Top Bottom