Recent content by Eavesdropper

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    Hata reli ikijengwa, bado tutahitaji malori, kwani reli haitaweza kufikisha mizigo hadi majumbani kwa watu au kwenye viwanda. Kuna mifano mingi ya nchi zenye mifumo mizuri ya reli lakini bado zina malori mengi. Nchi kama Uingereza hapa ni mfano mkubwa. Nafikiri swala la kujiuliza hapa ni kuwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    UFAFANUZI KUHUSIANA NA MAKUBALIANO YA RWANDA, KENYA NA UGANDA KUFANYA MOMBASA KUWA KITUO CHA USHURU. Utangulizi: Marais wa nchi za Rwanda, Uganda na Kenya, walikutana mwanzoni mwa mwezi uliopita, ambapo mojawapo ya maazimio ya mkutano wao, ilikuwa ni kufanya Mombasa kuwa kituo cha kukusanya...
Back
Top Bottom