Recent content by easygo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Da!Mungu tuepushie mbali hili janga,R.I.P askari wetu.Lakini mi napata kigugumizi kwa nini wanaouwawa asilimia kubwa kama si mia ni viongozi wa serikali ,viongzi wa chama tawala pamoja na askari wetu? Kuna kila sababu serikali kupitia kwa waziri mwenye dhamana kukaa chini na wananchi wa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

    Kwani ni lazima kushiriki futari?labda walikuwa wameshiba lakini mbona kuna mambo ya msingi ya kijamii hawa upinzani wanabaniwa ila WA upande ule wanapeta! Mheshimiwa angalia chanzo cha tatizo inawezekana wewe ndo tatizo
Back
Top Bottom