I had similar project lakini hapo inabidi debt recovery plan uwe umeihakiki, otherwise risk ya kuibiwa Iko juu sana
It's only safe ukipartner na telecommunications companies zikusaidie kudai nakukata automatically.
Nimepitia link uliyoweka..japo the contents within zimenichanganya kidogo lakini inaelekea unataka kupokea malipo kupitia hii website;;;Ku ilink na VISA ni process ndefu kidogo lakini it is easier unaweza kuanza na paypal, process nyingine hufanya wao napesa inakufikia kwenye account yako harafu...
Samahani,inaelekea hujaelewa:
Kama una creditcard ya bank ambayo inakubali online transactions i.e kununua vitu kwenye mitandao kama ebay,amazon etc.. well and good, lakini kumbuka sio bank zote zinatoa huduma hiyo na kuna watu wanahitaji hiyo service; lejea threads za manunuzi kwa kutumia ebay...
Yote baada yakupokea mzigo, ila kwenye bei iliyopo kwenye website utaongeza freight charges:
18% ni service fee:
Itabidi tupate uhakika kama kweli mzigo utauchukua ukishafika, ndio maana tunapendelea kufanya na registered companies:
For individuals itabidi ulipe kabla:
Tupo Mwanza, Arusha na Dar::
Hii ni baada yakuona interest za watu wengi for the online business:
Tunasaidia watu kununua bidhaa online:
Iwe ebay,amazon na online store nyingi tuu..
Kwa kuanza tunasaidia wale wanaotaka kununua bidhaa za bei ndogo, chini ya 100USD
Kama una established business na adress yako inajulikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.