UPENDO HILLARY MSUYA (Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania)
*Jaji No. 40 (J.40) kulingana na nafasi ya uteuzi wake
(Seniority) kwa Majaji Mahakama Kuu ya Tanzania waliopo sasa (bila
kumjumuisha Jaji Kiongozi FAKIHI ABDALLAH RHENO JUNDU)
*KANDA/Kituo cha
Kazi: DAR ES SALAAM (Kama ilivyohakikiwa...
Kama kweli PM Pinda anataka kujiuzulu, ingawa amechelewa lakini bado ana nafasi.. sababu ni nyingi lakini, mosi ni kulinda heshima yake na pili kwenye hii regime ya JK na chama chake (CCM) yeye amewekwa kuwa kama rubber stamp tu... how come Prime Minister hawezi kumwajibisha Katibu Mkuu wa...
Hayo pia ni maoni yako... lakini penye ukweli lazima hapajifichi... pia ni maoni yangu kuwa CDM kimezidi kuwa na mvuto mkubwa kwa sasa na hasa kwa vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.