Recent content by eae

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadilisha fedha za Ivory Coast (CFA Francs)

    Ninayo kama 100k ya CFA France Mkuu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadilisha fedha za Ivory Coast (CFA Francs)

    Wakuu ado sijapata msaada na hii kitu naomba yeyote yule mwenye msaada zaidi anisaidie niweze kubadilisha hizi fedha
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadilisha fedha za Ivory Coast (CFA Francs)

    Wakuu ahsante sana kwa mawazo yenu ila nimeenda Airport LEO nimechemka kila sehemmu pale airport wanadai hawabadilishi
  4. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadilisha fedha za Ivory Coast (CFA Francs)

    Ahsante sana mkuu nimepambana sana kwenye hayo maduka sijapata msaada ndo maana nikaomba kama unakumbuka specific duka ulilobadilishia fedha hizo will be great cause its likely watakuwa wanazibadilisha pia
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadilisha fedha za Ivory Coast (CFA Francs)

    Ahsante sana mkuu Airport section gan sepcifically kaka
  6. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadilisha fedha za Ivory Coast (CFA Francs)

    Wakuu, poleni na majukumu. Naomba msaada wa taarifa. Nina fedha za Ivory Coast (CFA Francs) na kwa sasa nipo Dar es Salaam. Nimejaribu kuzunguka katika benki mbalimbali pamoja na Bureau de Change kadhaa lakini sijafanikiwa kupata sehemu inayobadilisha sarafu hiyo. Naomba mwenye kufahamu benki...
Back
Top Bottom