Recent content by E Seven

  1. E

    Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

    hitimisho lako lipo poa lakini maliza mchezo wote gharama ya simu ianzie shilingi ngapi?
  2. E

    Naomba maoni kuhusu utendaji wa simu ya M Horse S24

    Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
  3. E

    Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

    siku hizii magonjwa yana hasira yana kufata ndani ya condom, chungaa au acha ngonooo kabisaaa, uamuzi ni wako!! 🤣🤣
  4. E

    Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa kutoka Mwanza - Dar, natafuta soko la bidhaa yangu hii

    Habarii zenu wadau, kama mada inavyoeleza nahitaji kuanza biashara hiyo ya dagaa waliokaushwa na jua kutoka mwanza to dar, nahitaji soko lake kwa hapa dar na details zingine zitakazo nisaidia katika kuanzisha biashara hiyoo.
  5. E

    Nahitaji wazo la biashara kwa mtaji wa laki 5 nipo Kongowe, Pwani

    kuuza kwa frame itapendeza zaidi au ntakuwa napuyanga?
  6. E

    Nahitaji wazo la biashara kwa mtaji wa laki 5 nipo Kongowe, Pwani

    hapana sijawahi fanya biashara yoyote hapo kabla.
  7. E

    Nahitaji wazo la biashara kwa mtaji wa laki 5 nipo Kongowe, Pwani

    Habari wadau, kama nilivyo eleza hapo awali nahitaji mawazo yenu kuhusu biashara ya kufanya kongowe pwani kwa mtaji wa laki 5. Pia soma Nahitaji ushauri nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani?
  8. E

    Je, kuna tofauti kati ya bond fund na liquid/ukwasi kwenye uwekezaji wa pamoja (UTT)?

    habari, naomba unipe ufafanuzi kuhusu mfuko wa liquid fund, kianzio, na faida inapatikana vipi?
Back
Top Bottom