Wakuu kwa majina ni isaack umri 23, napatikana Dar (makongo juu), elimu nimehitimu degree ya arts and design 2024 (sijatunukiwa cheti bado). Kwa wakati huu nahitaji kazi yoyote halali, ya kulipwa kwa siku, wiki au mwezi wakuu.
Mwenye nafasi tusaidiane hapo wakuu
Isaack Mgeta.
Makongo juu, Dar...
Isaack.artz mchoraji wa picha za penseli black and white, napatikana makongo juu,dar. Nafanyia kazi nyumbani.
nAchora size ya A3,A2 na A1 karibuni
0712068462/0742083772
Hello guys samahani mimi ni kijana miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili UDSM, nilikua na mwanamke wangu ambae tumedumu kwa miaka takribani 7 sasa tangu form 2, mwaka jana nilimpatia ujauzito kwa mwanzo niliutumikia fresh japo tupo mbali me nipo dar ye yupo msoma, shida ni kwamba kuna mda life...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.