Mimi naona umeandika kwa hisia tuu na sio hoja, mambo ya uzanzibari na ubara yanahusikaje?? Halafu pili hizo Namba ukipiga unapata msaada moja kwa moja, mfano Mimi nilikuwa nasafiri from Mbeya to Sumbawanga nauli ilkuwa juu, nlivyowapigia tulikuwa hatujaanza safari bado so ilimchukua Afisa wa...
Mimi nawapongeza sana LATRA na Polisi, naona sasa Akili itawasogoea Hawa Jamaa, maana unakuta mtu anaendesha gari kama vile kapakia mahindi kumbe Ni watu... Hadi unawaza wanaonekana kweli?? Kumbe wamechezea king'amuzi🙌🏾🙌🏾
UKIMWI sio neno geni kwa watu wengi Tanzania. Watu wengi wameufahamu ugonjwa huu kutoka mashuleni, kwa ndugu au jamii kiujumla. Hali hii imefanya hofu juu ya ugonjwa wa UKIMWI kupungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka ya 1980 ambapo ugonjwa huu ndio ulikua unaingia nchini na watu hawakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.