Nina uzoefu natafuta kazi sana, nina shida jamani naangamia binaadamu mwenzenu kwa yeyote atakaesoma tangazo langu naomba mnisaidie.
Hata kama huna wewe lakini una ndugu yako au mtu unaemfahamu anatafuta mfanyakazi wa kwenye duka la nguo tafadhali nijuze kwa no hii 0719493982 JamiiForums kuna...
samahani ndugu yangumm nna shida natafuta kazi siku nyingi sijapata nataabika hiyo kazi naweza kuifanya nisaidie nipo dar. nitafute no.yangu 0719493982
nahitaji kufungua biashara lakini mtaji nilionao ni laki nne tu sasa cjui nifungue biashara gani ndo itaaford mtaji nilionao wenye uzoefu anisaidie mawazo.
Natafuta ajira kwenye shule yoyote masomo yangu ni geography na kiswahili. elimu yangu ninadegree ya BAED. Ninauwezo wa kufundisha o-level na A-level kwenye masomo hayo
Atakayenihitaji napatikana kwa no.0719493982
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.