Habali wana jamvi
Hivi kwa mfano unamkuta mwanao anafanya hivi utachukuwa jukumu gani
Mimi binafsi ntamwacha amalize hadi mwisho kisha ntamchukuwa kwa upendo mkubwa tu.tulifika ntampa chakula au juice anayoipenda,kisha ntaanza kumweleza kwa upendo kuwa analikipaji kikibwa sana na nimefurahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.