Recent content by dutouh

  1. dutouh

    Nijuzeni vyuo vizuri vya clinical office vilivyopo Mwanza, Dodoma na Dar na ada zake

    Habari za Leo ndg, ningependa kujua vyuo vizuri vya afya vinavyotoa cozi ya clinical officer vilivyopo mikoa ya mwanza,Dodoma au dar, pia ningependa kujulishwa na ada zake.
  2. dutouh

    Special thread clinical officer 2018/2019

    Saiv ni mda wa kufanya application kwa vyuo vya private wahi sasa kwan mwisho ni tar 10 mwez huu wanne
  3. dutouh

    Special thread clinical officer 2018/2019

    me nipo kwenye application sasa, vyuo vya private mwisho wa kuapply ni tar 10 mwez huu wa nne
  4. dutouh

    Special thread clinical officer 2018/2019

    Mimi Nina mipango ya kujiunga na kozi hiyo ya clinical officer ningependa piah kwa wenzang walio na mpango huo tupeane ushauri, kuhusu kozi yenyewe.
  5. dutouh

    Special thread clinical officer 2018/2019

    Habari zenu wana jf kwa wale wote wanaotarajia kujiunga na vyuo mbalimbali vya kozi za afya kwa mwaka 2018/2019 tukutane hapa kupeana ushauri kidogo.
  6. dutouh

    Msaada, App ya kusajili laini za halotel

    Hiyo Halotel mbccs haisupport kwenye android 7.0
  7. dutouh

    Msaada, App ya kusajili laini za halotel

    Mkuu naomba unitumie iyo application WhatsApp no 0744411938
  8. dutouh

    Msaada, App ya kusajili laini za halotel

    We unatumia Mbccs au vp mkuu
  9. dutouh

    Msaada, App ya kusajili laini za halotel

    Habari zenu wana jf naomba msaada kwa yule anayejua app ya kusajili laini za Halotel kwa simu zenye android 7.0. Asanteni
  10. dutouh

    Nielekezeni jinsi ya kutuma barua TAMISEMI kubadili combination

    Ndugu habarini za saizi? Hii inawahusu wale waliomaliza kidato cha nne mwaka jana, wakati tumemaliza mitihani kuna barua tulisomewa toka necta tukaambiwa kuwa matokeo yakitoka unaweza ingia kwenye tovuti hii www.tamisemi.go.tz na kutuma maombi ya kubadilishiwa combination kulingana na ufaulu...
  11. dutouh

    Ningependa kujua

    Achen hizo wakuuu
Back
Top Bottom