Ndugu yangu nenda kwenye vituo au onana na mtaalam ili ufanyiwe vipimo inaweza kiwa ni dalili ya ugonjwa fulan kwasababu hzo dalili zote unazozitaja zinaendana na za vidonda vya tumbo
Hilo sio tatzo lolote bro ni hali yakawaida lkn binadamu tunatofautiana yako ww imezidi lkn kwa ushaur ww jipotezee kwa kufanya mazoez, kusoma vitabu mbali mbali au kujiingiza kwenye michezo mbali mbali ujieke busy mda wote, naiman itakua msaada kwako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.