mlipuko umetokea katika substation ya Tanesco Ubungo na si songasi, kilichosababisha moto ni feeder moja ililipuka hapo kwenye substation, na ilsababishwa na itilafu ya umeme, moto ulizimwa dakika chache baada ya tukio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.